Geuza PDF yako kuwa kitabu cha dijitali chenye ulinzi. Readers wanalipia kwa simu โ wewe unapata pesa moja kwa moja.
Upload PDF yako na weka bei. Conversion ya kwanza ni bure.
Tunaigeuza kuwa .hagah โ format yenye ulinzi wa kiwango cha juu.
Readers wanalipia kwa simu โ pesa inaingia account yako moja kwa moja.
Hakuna ada za kila mwezi. Tunachukua tu asilimia ndogo kwa kila mauzo.